Sheikh Yahya VS Nyerere: Alitabili Kupata Raisi Kichaa! Tayari au Bado!!

Duduwasha

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
5,703
3,653
Dunia Sasa Imani imekwisha ppapaappapraa Si kwa wakubwa eeehh! si kwa watoto papapapprrrpaaarrraa Mioyo ya watu Imebadirika ppiippiipwepeee Kwenye watu Kumi Binaadamu Mmmojaa!! Wote Tunakwenda mzabwa mzabwa!!

Nani kati ya Hawa Sheikh Yahya na Nyerere Aliekuwa Na Utabili Sahihi?

Nyerere Alitabili kwa Katiba hii Siku akija Raisi Kichaa Mtakoma na Sasa Tushaanza Kukoma ndio Utabili umetimia au bado? Wa Tarime Wajibu..

Sheikh Yahya Alitabili Babu wa Loliondo = Ikatokea

Nyerere Alitabili Kifo cha CCM = Kinaelekea Elekea Kama wakiendelea Kutesa Wananchi Wao kwa haya mateso tunayotaabika Nayo.

Sheikh Yahya Alitabili Simba Kuifunga yanga na Yanga Kuifunga Simba Akidai kawarithisha Wafanyakazi Wake Wa Receiption..Pale alipokosea utabili wake Kidogo Nyumba yake Iteketezwe kwa Moto na washabiki waliotokea Uwanja wa Taifa Wakiimba nyimbo za Kumtukana ''Sheikh Yahya eeeh Kumbe Ch..k...'' Yalitokea Alipatia na kukosea

Nyerere Alitabili Wazanzibari Wakitubagua na Kujiona wao ni Wazanzibari na Sie Ni Watanganyika basi Dhambi yao Itaendelea Kuwatafuna wao kwa wao Watakuja Gundua kuwa Kumbe kuna Wazanzibari na Wazanzibara Dhambi Itaendelea. na Watanganyika hivyo hivyo.. Dalili Zote zi Wazi

Sheikh Yahya Alitabili Uchaguzi Wa Kenya atakayeshinda Yule aliyeumia Mkono Ikatokea Sawa.

Nyerere Alitabili Tukija chagua raisi asiye na haya basi Rushwa haitakwisha na alitabili Utamuona mtu anakemea Rushwa lakini Ukimtizama Usoni Utamuona Huyuuuuu....! Yametokea..
Na mengine Mengi hawa Watabili Waliyatoa wengine waendeleze nani alikuwa mkali?
 
naona kama unacompare vitu viwili tofauti
mimi ukiniuliza tofauti zao-nitakujazia karatasi
 
mi naona bora nchi iuzwe kila mtu ale chake kivyake badala ya kuuza vipande vidogo vidogo
 
Back
Top Bottom