Naomba nianze thread yangu kwa kuwakumbusha kidogo physics, Nadhani wengi mnakumbuka jinsi pendulum inavo-swing kushoto na kulia. Sasa nataka kuirelate movement ya pendulum na ubongo wa binadamu...
Tukifananisha makampuni ya simu na mademu tunaweza kupata majibu yafuatayo kitaaa!
ni udaku tu usichukie
Airtel ni sister du anaependa starehe na kubadili majina na kupenda wenye nazo...
Siku moja jamaa fulani akawa hajasoma na bado course work ikawa sio nzuri sasa katika test ya mwisho akaona bora ajihami mapema, siku moja kabla ya paper jamaa akaenda kwenye venu ya test...
CCM ndio chama kinacho ongoza nchi. Chama hiki kinaongoza nchi masikini na watu wake wengi ni masikini wa kutupwa, wa kipato na hata fikra.
Wabunge wake ndio wanao ongoza kwa kulala bungeni...
Ukigeuza neno JAMII FORUMS/ HOME OF GREAT THINKERS kwa mpangilio wa kuruka herufi moja kimahesabu utapata neno FREE MANSONS TAKE ON. Inawezekana hii ikawa sababu ya kubadilisha jina kutokaa Jambo...
jamani leo nimecheka sana sababu nimekutana na classmate wangu wa primary nikawa nimemsahau jina ila nikawa nalikumbuka jina la enzi za shule nilipomwita jamaa alikasilika kweli, lakini si huyo tu...
Jamani najua wapo wengi lakini, kwa suala hili sakata la rada ningekuwa ni mimi wa kwanza ni Hosea then Chenge, sikuu nyingi wa ngekuwa huko tena pasipo kuruhusu dhamana
A young man goes to a doctor for a physical examination. When he gets into the room, the man strips for his exam. He has a dick the size of a little kid's little finger. A nurse standing in the...
Mwanafunzi wa kijaluo alipatiwa mtihani wa insha ilionza hivi
nilipofika nyumbani nilimpata mama amepigwa na butwaa na bumbuwazi.....
Mwanafunzi akaendeleza....kitu ya kwanza naenda kwa kina...
Ukiwa na stress ingia humu tu, utacheka mpaka upone hiyo stress, yaani ni mipasho tu, hahahahahaaaaaaaaaaaaa, kila hoja inayowekwa hata kama inadai majibu ya hoja, hutayaona, bali utakutana na...
Two presidents are talking over coffee and
croissants
at their country club one day. Kagame, of
Rwanda, says
to Kibaki(Kenya) "Hey, I tell you my driver is
really
stupid. Do you doubt me...
Kuna vituko vingi sana tulifanya tukiwa wadogo rika lile la shule ya msingi.
Visa tulifanya kanisani, shuleni, nyumbani na mitaani kwa ujumla.
Je wewe unakumbuka kituko gani?
Mwanamke mmoja alikuwa wa ki-leo sana kiasi kwamba sehemu kubwa ya pato lake na mume wake liliishia katika kubadilisha samani na vyombo vya matumizi ya nyumbani na kuweka vya umeme: jiko, sufuria...
Kwa maombi ya wengi nimeamua kuludisha. Na pia kero za Lizzy zmenifanya nirudishe!! Kwa nini nisifanye kitu moyo unapenda? Hilo ni moja.
La pili.......Sifurahishwi na hali ya pale ninapofanya...
Nimejichokea zangu narudi kutoka kazini, niko kwenye usafiri wetu wa jumuia. Foleni ilipoanza kunoga basi kamjadala kakaanza mara baada ya kupita kibasi kikiwa na abiria wenye nguo za njano na...
Dogo mmoja katoka saloon katengeneza nywele kwa mtindo wa fidodido(dread style).Alipokutana na baba yake ambaye ana uwalaza(upara) wa kati alifokewa sana na kuambiwa akanyoe nywele vizuri kwani...
Dogo akamuuliza mama yake mjamzito, 'eti mama mbona tumbo lako kubwa sana'? Mama akajibu 'nina mtoto tumboni'. Dogo hakuelewa, siku moja mama anasonga ugali akawa amekaa vibaya. Dogo akaona ishu...