Ngumi za Wanawake Kugombea Kiti Kwenye Treni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ngumi za Wanawake Kugombea Kiti Kwenye Treni

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by MziziMkavu, Jul 28, 2011.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Jul 28, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  [TABLE]
  [TR]
  [TD="colspan: 3"]Ngumi za Wanawake Kugombea Kiti Kwenye Treni
  [/TD]
  [/TR]
  [TR="bgcolor: #e1e1e1"]
  [TD] [​IMG][/TD]
  [TD] Saturday, July 23, 2011 7:36 PM
  Picha hii imechukuliwa huko kwa mzee Obama, Marekani wakati mwanamke mwenye mtoto mchanga alipojisahau na kuanza kudundana na mwanamke mwezie ndani ya treni sababu ya ugomvi eti ni KITI.[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 3"] Matusi na maneno yote ya kukashifiana yaliporomoshwa na wanawake wawili waliokuwa wakigombea kiti ndani ya treni jijini New York.

  Ugomvi huo haukuishia kwenye maneno tu bali wanawake hao walishushiana makonde na kuvutana nywele( Si unajua ngumi za kike kuvutana nywele ni kawaida). Kichekesho ni kwamba mmoja wa wanawake hao alikuwa amevaa wigi ambalo lilivuka wakati wa purukushani hilo.

  Mama mwenye mtoto alijisahau kuwa ana mtoto mchanga kwenye pram na alianza kugombana na mwanamke mwenzie huku pram la mtoto wake likisukumwa na kutoka nje ya treni wakati milango ya treni ilipofunguka wakati treni iliposimama kwenye mojawapo ya stendi zake huku ugomvi huo ukiendelea.[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 3"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 3"][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
Loading...