Unajua Shekhe Yahya angetabiri nini ?

Unajua Shekhe Yahya angetabiri nini ?

Safety last

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
4,242
Reaction score
1,429
Yule mzee wa vurugu za maono, muumini wa majini ambaye ametutoka, ulishajiuliza angetabiri nini kipindi hiki cha mgao wa umeme? Maana nchi imetulia baada majini na mapepo kupoteza kiongozi wake!Alikuwa mwongo sana !
 
Back
Top Bottom