Mabwawa yote ya tanzania hivi sasa yametoboka

KAKA A TAIFA

JF-Expert Member
Apr 27, 2011
566
80
Nimesikia kwamba mabwawa yote ya maji yamotoboka kwa chini yanavuja ile mbaya ndo maana umeme umepungua.hata gasi imeacha kufoka ndo maana mitungi imekauka
 
nilfikiri huku tunatakiwa kuweka vichekesho...,kumbe ni chochote..!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.
 
nafikiri liijengwe bawa pale mto rufiji hilo haliwezitoboka kama haya mengine
 
Back
Top Bottom