Sikukuu ya Giza Tanzania Iwepo, Ona hii Picha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sikukuu ya Giza Tanzania Iwepo, Ona hii Picha

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Pilato2006, Jul 27, 2011.

 1. Pilato2006

  Pilato2006 Senior Member

  #1
  Jul 27, 2011
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 122
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Wakuu angalieni hii picha, ya Bendera yetu
   

  Attached Files:

 2. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Mi nataka hiyo mitambo izimwe kbs! Halafu tuone hawa magamba wanaong'ang'ana na uongozi watafanyaje baada ya hilo kutokea. Eti m2 na akili yake anasimama na kudanganya wanainchi ya kwmb UCHUMI WA NCHI inakuwa kwa 7% anaona wa2 wa leo niwale wa miaka ya 1962. Yani hii isipowafundisha mi naona itabidi mwafaka ya nguvu ya UMMA ndiyo wataiona.
   
 3. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  Kwa nami naona wazime kabisa.tumeshazoea giza.
   
 4. THINKINGBEING

  THINKINGBEING JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2011
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 2,726
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 280
  Mazoea yana tabu.
  Sitaki giza letu liishe.
   
Loading...