Maths magic! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maths magic!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by WISDOM SEEDS, Jul 25, 2011.

1. WISDOM SEEDS

WISDOM SEEDS JF-Expert Member

#1
Jul 25, 2011
Joined: Jun 1, 2011
Messages: 782
Likes Received: 14
Trophy Points: 35
Tarakimu ya mwisho ya simu yako ya kiganjani zidisha kwa 2, jibu utakalopata jumlisha 5
halafu zidisha mara 50, jibu utakalopata jumlisha umri wako, halafu jumlisha tena 365, kisha toa 615.
Namba mbili za mwisho katika jibu lako ndiyo umri wako na namba ya mwanzo ndiyo namba ya mwisho
ya simu yako ya kiganjani.

(Your cell number's last digit X 2 + 5 X 50 + your age + 365 – 615
the last two numbers are your age and the first number is your cell's last numbers)

Jaribu leo uone!!

2. M

Mbishi SR Member

#2
Jul 25, 2011
Joined: Jul 21, 2011
Messages: 48
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Sasa hapo natafuta nini sasa!! U complication tu.

3. wapalepale

wapalepale JF-Expert Member

#3
Jul 25, 2011
Joined: Mar 21, 2011
Messages: 259
Likes Received: 20
Trophy Points: 33
mkuu, maelezo yako hayaendani na formula uliyoweka (labda magazijuto yalikuwa tatizo kwako) ila ukifuatilia maelezo yako kwa usahihi jibu kweli linakuja kama ulivyosema manaana mimi namba ya mwisho ni 8 na umri wangu ni 28, jibu baada ya hiyo hesabu ni 828!

Ili iendane na maelezo yako, Formula ungeandika hivi; [(Your cell number's last digit X 2) + 5] X 50 + your age + 365 – 615

4. Maayo

Maayo JF-Expert Member

#4
Jul 25, 2011
Joined: Jul 21, 2011
Messages: 319
Likes Received: 0
Trophy Points: 33
Mmh! Nna kaz nafanya. Hesabu yako ntafanya baadaye.

5. yutong

yutong JF-Expert Member

#5
Jul 25, 2011
Joined: Apr 15, 2011
Messages: 1,604
Likes Received: 8
Trophy Points: 0
Si unajuwa wengi walikimbia hesabu halafu anajifanya kukokotoa hapa.

6. J

Jamsuldash Member

#6
Jul 26, 2011
Joined: Jul 14, 2011
Messages: 68
Likes Received: 6
Trophy Points: 15
kweli. . .? teh teh teh

7. Mdau Mkuu

Mdau Mkuu JF-Expert Member

#7
Jul 26, 2011
Joined: Dec 12, 2009
Messages: 236
Likes Received: 26
Trophy Points: 45
Mkishaanza mahesabu tu naumwa na kichwa!

8. Smile

Smile JF-Expert Member

#8
Jul 26, 2011
Joined: Jul 18, 2011
Messages: 15,427
Likes Received: 194
Trophy Points: 160
ni kweli great thinker guud

9. IT Guru

IT Guru JF-Expert Member

#9
Jul 26, 2011
Joined: Feb 17, 2011
Messages: 616
Likes Received: 27
Trophy Points: 45
Dah nikikuwa naijua kama hii ila sikuwahi kufikiria inayohusu umri. Tanx mkuu

10. Nzowa Godat

Nzowa Godat JF-Expert Member

#10
Jul 26, 2011
Joined: Jun 15, 2011
Messages: 2,630
Likes Received: 153
Trophy Points: 160
Nimejaribu namba zangu zote nne za cell phone hesabu yako haijaleta jibu.

11. k

kisukari JF-Expert Member

#11
Jul 26, 2011
Joined: Jul 16, 2010
Messages: 3,757
Likes Received: 1,046
Trophy Points: 280
mimi nimejaribu,jibu limekuja sawa

12. Tanganyika1

Tanganyika1 JF-Expert Member

#12
Jul 27, 2011
Joined: May 10, 2011
Messages: 396
Likes Received: 27
Trophy Points: 45
hujui hesabu.

13. Nzowa Godat

Nzowa Godat JF-Expert Member

#13
Jul 27, 2011
Joined: Jun 15, 2011
Messages: 2,630
Likes Received: 153
Trophy Points: 160
Ukisikia wachawi wa namba ndio mimi sasa, nashangaa we ni mathematician wa wapi usienifahamu mimi. Tafuta mimi kwenye facebook.

14. Maayo

Maayo JF-Expert Member

#14
Jul 27, 2011
Joined: Jul 21, 2011
Messages: 319
Likes Received: 0
Trophy Points: 33
Rudia tena. Fanya kwa umakini utapata jibu. Mim nimejarb no zang 3 zote zmeleta majib sawa. Hi ni kwel mkuu.

15. S

Shomy . I JF-Expert Member

#15
Jul 28, 2011
Joined: Jan 4, 2011
Messages: 221
Likes Received: 62
Trophy Points: 45
Formula ungeandika hivi;  [(Your cell number's last digit X 2) + 5] X 50 + your age + 365 – 615

[/QUOTE]

hakuna kilichofanyika kwani when u simplify utapata equation: 100n + x ambapo 'n' namba ya mwisho ya cm yako na 'x' ni umri wako. Kwa namba yoyote ya cm (0-9) uki'substitute' ni lazma utpata namba yenye tarakimu 00 mwisho halaf ukijumlisha na umri wako(kwa kuwa wengi jf hatufk 100) ni lazma tarkim hizo zitajitokeza ktk tarkim 2 za mwisho ambazo ndio umri wako. Tatzo ni 'HOW SIMPLIFY' nadhan umenipata. Hesabu ni RAHISI SANA.

16. S

Shomy . I JF-Expert Member

#16
Jul 28, 2011
Joined: Jan 4, 2011
Messages: 221
Likes Received: 62
Trophy Points: 45

Loading...