Mnamo miaka ya 1980 kipindi hicho wakati wa shida ya usafiri, kuna gari moja aina ya landrover 109 ambalo nyuma lilikuwa wazi yaani "pickup" lilibeba jeneza la kuzikia maiti likielekea kijiji cha...
Bwahahaha! what are people thiking about? kwl people have a wild IMAGINATION!
kwanza ranking hii nimoja wapo ya THE FUNNIEST COMMERCIAL na kweli bana kujua ngeli muhimu
Then sasa twaja hizi...
Hallo wana jf.
Hakyamungu sheria za nchi hii zingeruhusu kutembea uchi, hawa wanawake wa kitanzania wangetembea uchi. Yaani mavazi yao ni robo tatu uch sio nusu uch tena. Wamelaaniwa.
At the cocktail party, one woman said to another, Arent you wearing your wedding ring on the wrong finger? The other replied, Yes I am, I married the wrong man.
kuna jamaa angu m1 alikuwa anapiga deiwaka kwenye kampuni flan hivi kamuda kalipita, boss wake akawa anampango wa kumwajiri.
sasa jamaa akaambiwa apeleke picha 3 ili apate ajira ya moja kwa moja...
Sina uhakika kama imewahi wekwa hapa..........
An airplane was about to crash; there were 5 passengers on board but only 4 parachutes. The first passenger said, " I'm Kobe Bryant, the best NBA...
Kuna wanandoa wawili walikua na tabia ya kudanganyana ktk ndoa yao..siku moja mke alilala nje na aliporudi asubuh,mumewe akamuulza alipolala,ye akamwambia alilala kwa rafiki yake wa kike,mumewe...
Kuna jamaa wawili, ni vibaka, sasa walimuona dada mmoja pale Mwenge ameweka pesa nyingi tu kwenye temperature yake, anasubiri daladala. Wakapanga kwenda kuzichukua, muda wote mi nawachoraa tuu, wa...
kulikuwa na mlevi anakatiza mitaa ya makaburini ambapo pembeni yake kuna kanisa;kumbe kule makaburini kunawaizi wanagawana kuku wakisema huyu "wangu huyu wangu"
kidogo mlevi akasikia sauti...
Mzee mmoja wa kiswahili alikuwa amezoea sana kujifunga kikoi bila kuvaa chupi.Bas mwanawe aliamua kumnunulia chupi tatu za rangi nyeupe nyekundu na ya kijani.mzee aliamua kuvaa nyeupe na mida ya...
Hapa kijijini kwetu kulikuwa na dada mmoja kiruka njia sana. Ilifikia wakati watu wote walimjua na hata wanaume wengi kuwa wameishaenda naye. Siku moja mfalme alimwita na kumuuliza hivi kati ya...
Kijana mmoja anayesoma kidato cha tatu kanijia kuniomba ushauri.Tatizo lake ni kwamba licha ya kusoma kwa bidii sana lakini anaishia kufeli katika mitihani.Udhaifu alionao ni kwamba anaposoma...
Jamani naombeni mnikaribishe Dar wana JF, kesho ndo natinga rasmi. Nitaondoka hapa mkoani majira ya saa 5 asubuhi na zile gari zinazoleta magazeti. Natumai nitatinga Dar majira ya saa 12 jioni...
Jamaa baada ya kutoa maelezo kwa daktari kuhusu matatizo ya mkewe kutokusikia vizuri,daktari alimshauri aende nyumbani,akajaribu kumsemesha kwa umbali tofauti tofauti mpaka pale atakapomjibu ili...
Jamani ndo nimetinga jijini sioni mwenyeji hata mmoja kila anaepita naona yuko busy. Hii gari ya magazeti imeniacha kuku mwanzo mwanzo kabla ya kuingia DAR kumbe hawaruhusiwi kuingia mjini na...