Nduka Original
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,012
- 816
Jamani naombeni mnikaribishe Dar wana JF, kesho ndo natinga rasmi. Nitaondoka hapa mkoani majira ya saa 5 asubuhi na zile gari zinazoleta magazeti. Natumai nitatinga Dar majira ya saa 12 jioni. Nitakaa takribani siku tano hivi. Siku mbili za kwanza nitakuwa Charambe kwa mjomba wangu kisha nitahamia Kitunda kwa siku moja. Na siku mbili za mwisho nitakuwa Mwananyamala kwa Kopa. Jamani naombeni wana JF wenzangu mnionyeshe viwanja nami nilione jiji. Ni PM nikupatie contacts zangu.