Mzee wa kiswahili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzee wa kiswahili

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by fundiaminy, Sep 5, 2011.

 1. fundiaminy

  fundiaminy JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2011
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 358
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mzee mmoja wa kiswahili alikuwa amezoea sana kujifunga kikoi bila kuvaa chupi.Bas mwanawe aliamua kumnunulia chupi tatu za rangi nyeupe nyekundu na ya kijani.mzee aliamua kuvaa nyeupe na mida ya mchana alienda kuoga na kuisahau kwa bafu kwa kuwa haikuwa mazoea yake kuvaa chupi.Alipotoka kuoga mzee akaelekea kijiweni kucheza drafu na wazee wenzake.kwa bahati mbaya mzee alikaa dizain mbaya na bidhaa nyeti zikawa nje.wenzake wakaanza kumcheka na aliposh2kia akawaambia mnacheka hii nyeupe nyumbani nina ya kijani na nyekundu sandukuni.wazee wenzake ndio wakazidi kuwa hoi kwa kicheko.dah mzee kushtukia kuwa hakuwa amevaa kitu ilibidi ahepe fasta na kijiweni hakurudi mwezi mzima.
   
 2. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Unafikiri kwa ku2mia nini? Ama umeishiwa na mawazo. Ama ndiyo 2sema umeishia hapo. POLE SANA DOGO! Mawazo ya kitoto kabisa!
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,349
  Likes Received: 22,208
  Trophy Points: 280
  Wenzake wanatumia masaburi kufikiria, lakini huyu anatumia MASANILO kufikiria.
   
 4. fundiaminy

  fundiaminy JF-Expert Member

  #4
  Sep 5, 2011
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 358
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />

  kumbe ilikuwa ni wewe? Skujua mzee.kesho vaa chupi na usikae kiholela.ha ha ha ha ha ha.
   
 5. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #5
  Sep 6, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 424
  Trophy Points: 180
  jamani hili mbona ni jukwaa la utani na sio la siasa.kama ukikipenda cheka hukukipenda kipotezee tu hiko kichekesho
   
 6. b

  beny hiluka Member

  #6
  Sep 6, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kitambo!
   
 7. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #7
  Sep 6, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  huh......................kuuuumbe
   
 8. Omukuru

  Omukuru JF-Expert Member

  #8
  Sep 7, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 244
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mbona unakuwa mkali kwenye jukwaa la utani? Leo hukuvaa chupi, nini?
   
 9. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #9
  Sep 7, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  inaelekea hakukua na upepo ckuhiyo
   
Loading...