Waongo walipokutana

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Messages
10,004
Points
2,000

Perry

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2011
10,004 2,000
Kuna wanandoa wawili walikua na tabia ya kudanganyana ktk ndoa yao..siku moja mke alilala nje na aliporudi asubuh,mumewe akamuulza alipolala,ye akamwambia alilala kwa rafiki yake wa kike,mumewe akaamua kuwapigia marafik zake 10,kuwaulza ka mkewe alilala kwao bt wote walikataa kwamba hakulala kwao.cku ya pili mumewe nae akalala nje aliporud asubuh akamwambia mkewe kuwa amelala kwa rafk yake,mkewe nae akaamua kuwapigia marafik wa mumewe 10 kuwaulza ka mumewe alilala kwao bt cha ajabu marafki zake 8 walikubali kuwa jamaa alilala kwao na 2 walisema alilala kwao na hadi wkt huo alikua bado yuko huko kwao.
 
Thread starter Similar threads Forum Replies Date
Eng Mose Jokes/Utani + Udaku/Gossips 6
Rich Ze Best Jokes/Utani + Udaku/Gossips 4

Forum statistics

Threads 1,390,647
Members 528,220
Posts 34,057,641
Top