Eeeeeh, Hii noma! Duuuh

TUITOR

Member
Joined
Aug 7, 2011
Messages
12
Points
0

TUITOR

Member
Joined Aug 7, 2011
12 0
Kuna jamaa wawili, ni vibaka, sasa walimuona dada mmoja pale Mwenge ameweka pesa nyingi tu kwenye temperature yake, anasubiri daladala. Wakapanga kwenda kuzichukua, muda wote mi nawachoraa tuu, wa kwanza akamsogelea yule dada nakuanza kumpiga vibao, tena vya nguvu tu, huku akisema, " we nakuachia pesa kumbe unakuja kufanya um...ya wako tu huku, na leo umeniomba ATM kadi yangu, kumbe ndio ujinga unaokuja kufanya huku!, au hii pochi ndo inakupa kiburi?, eeeh???""" akamnyang'anya ile pochi, halaf ili kuua so vizuri, yule jamaa wa pili alikuwa akipita pita pembeni nakudokeza, " yaani nyie mambo yenu ya nyumbani mnakuja kuya anika huku kituoni?? kwendeni zenu kule"" Aaaa hii ilikuwa noma!
 
Morinyo

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2011
Messages
2,736
Points
2,000

Morinyo

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2011
2,736 2,000

Huyo alingia choo cha kike.
 
pomo

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Messages
265
Points
195

pomo

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2011
265 195
ndo kuna dogo zangu siku ya idd mosi walipewa pesa za sikukuu(wawili wakike na m1 wakiume), yule dogo wa kike akaiweka hiyo pesa kwenye pochi, basi wakati wanatembea tembea akaidondosha, dogo wa kiume akaiona ile pochi(yeye alikuwa kwa nyuma yao) jamaa m1 akaiokota na kumwambia dogo usiseme, na dogo hakusema

dogo wakike akaja home analia kuwa kadondosha pochi na kuna mtu kaiokota na shahidi ni huyo dogo wa kiume, basi wakati tunamuhoji huyo dogo akawa anakubali kuwa alimuona anaiokota. lakini badae dogo akajiona mjinga akawa akiulizwa tena akawa anajibu kuwa hakumuona wakati anaokota ila alipishana nae huyo jamaa.

sasa hiyo stori yako kwa wewe unafanana na huyo dogo angu tu hakuna ubishi
 
Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Messages
3,412
Points
1,225

Jaguar

JF-Expert Member
Joined Mar 6, 2011
3,412 1,225
Acheni kukandia,mnakuwa ka hamuwajui mateja walivyo,ukijifanya polisi jamii leo,kesho ukikatiza mitaa hiyo lazima wakukite bisibisi ya mbavu au viwembe vya reception!naungana nanyi kumpa pole huyo dada.
 
Forum statistics

Threads 1,390,644
Members 528,220
Posts 34,057,392
Top