Sakata la padri na mlevi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sakata la padri na mlevi

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by saliel, Sep 7, 2011.

 1. saliel

  saliel Member

  #1
  Sep 7, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kulikuwa na mlevi anakatiza mitaa ya makaburini ambapo pembeni yake kuna kanisa;kumbe kule makaburini kunawaizi wanagawana kuku wakisema huyu "wangu huyu wangu"
  kidogo mlevi akasikia sauti ikitoka makaburini ikisema huyu wangu huyu wangu.akaanza kuwaza yakwamba itakuwa ni mungu na shetani wanagawana wa2 yaani mwenye zambi ni wa shetani na mwenye sawabu ni wa mungu.
  mawazo yale yakampeleka mbalisana akawa anaogoka akasema ngoja niende kanisani nikamuite padri aje asikilize nione atasemaje.
  wakati ameingia ndani kanisani kuku wawili wakawaponyoka wale wezi na kwenda kujificha pembeni ya geti la kanisa.
  mazungumzo ya padri na mlevi yalikua kama ifuatavyo:-
  mlevi: unasikia wanavyo sema hebu sikia
  padri
  : mmmmmm........eeee nimesikia
  mlevi: mi nahisi ni mungu na shetani wamekuja kuchukua wa2 hukuduniani.
  padri: mmm........hapana kwani mwisho wa dunia umefika.
  mlevi: nahisi utakua umefika.
  kidogo sauti zile zikanyamaza padri na mlevi wakawa wanasubiria kuona ni ki2 gani kitatokea. kumbe sehemu ile walio simama ni pembeni ya geti ambapo wale kuku wawili walikimbilia; gafla wakasikia bado wale wawili pale getini'.
  waunguna naomba mniambie kilichofuatia ni nini?
   
 2. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #2
  Sep 7, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,980
  Likes Received: 6,632
  Trophy Points: 280
  kuwachukua.mia
   
 3. saliel

  saliel Member

  #3
  Sep 7, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umekosa
   
 4. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #4
  Sep 7, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  unamuomba nani akuambie kilichofuata malizia mwenyewe we si ndo umeleta hii shigongo yako humu................huh
   
 5. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #5
  Sep 7, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0

  Tukuambie wakati mwenye stor ni weye umalizie sasa
   
Loading...