Haki ya Mungu, sheria ingeruhusu!

Haki ya Mungu, sheria ingeruhusu!

Mzee

Platinum Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
13,620
Reaction score
5,867
Hallo wana jf.
Hakyamungu sheria za nchi hii zingeruhusu kutembea uchi, hawa wanawake wa kitanzania wangetembea uchi. Yaani mavazi yao ni robo tatu uch sio nusu uch tena. Wamelaaniwa.
 
Mkuu,mi thithemi chochote,subiria mishale ya maneno!
 
Wa tz kwa kuzibukia mambo hatujambo, tatizo tunapitiliza hadi tunavuka mipaka. Nenda Mlimani city hasa wikend imekua kama show room
 
Wa tz kwa kuzibukia mambo hatujambo, tatizo tunapitiliza hadi tunavuka mipaka. Nenda Mlimani city hasa wikend imekua kama show room
<br />
<br />
wana act kama state vile.
 
Hali ya maisha ni ngumu bila kivazi kama hicho watakula wapi wao hivyo ndo vinawafanya waishi hapa mjini. Kama akivaa vazi la kiwaida hata salam kutoka kwa mwanaume hapati unadhani watafanya je?
 
Wa tz kwa kuzibukia mambo hatujambo, tatizo tunapitiliza hadi tunavuka mipaka. Nenda Mlimani city hasa wikend imekua kama show room

si unajua bongo kulivyo na joto! huku kwetu aaah wapi watu wanapiga mi vitenge ya kufa mtu
 
Back
Top Bottom