Mchungaji akawaambia waumini wa-kiume kwamba kila mmoja atoe sadaka kubwa kwa kadiri ya uzuri wa sura ya mkewe.Watu wakatoa viwango tofauti tofauti,wengine laki mbili,laki tano,laki nane na hata...
A Texan bought a round of drinks for all in the bar and said that his wife had just produced a "typical Texas baby" weighing 20 pounds
Two weeks later he returned to the bar, the Bartender...
This is a real story when I telled people you can imagine
One day, I was called for a nyama choma somewhere in uswahilini.kademu kangu kama kawaida refused to accompany i, because she does not...
Inakera sana na mara nyingi ndo huwa chanzo cha ajali nyingi za barabarani.
Unakuta devera huku anaendesha tena mwendo kasi huku anatuma sms jamani inawezekana kweli?
Tuwakemee sisi kama abiria...
Jamaa mmoja alikuwa na duka la kuuza dawa za binadamu(pharmacy).Siku moja,njemba moja ilifika ikaomba ipewe Dume pakti tatu.Baada ya kupewa zile pakti tatu,ile njemba ikalipa na kuondoka kwa...
Jamani mwenzeni leo ni birthday/siku yangu ya kuzaliwa. Nashukuru kwa kuwa nami karibu, kwa ushauri na mafunzo mengi mnipatiayo kupitia Jamvi letu hili. Nafurahi sana kwa ukaribu na ukarimu wenu...
Salaam wana JF
Wakati nikiwa mdogo nilipenda sana kucheza kombolela i.e Mchezo wa kujificha na kuanza kutafutana.
Nikiukumbuka huu mchezo natamani sana nirudi kuwa kama mtoto.
Je wewe utotoni...
Tangu ajali hii ya huzuni itokee,nimekuwa nikiingiwa na mawazo potofu kila siku,sasa nawaza kuwa walinusurika walikuwa ni wataalamu wa maji kwa maana kwa hali ya maji yenye mkondo wenye nguvu...
There were three men who were lost in the forest.They were then captured by cannibals.The cannibal king then told the prisoners that they could live if they pass the trial.First step of the trial...
Athumani:
Alimkosea nini Mungu mpaka ikaibuka huu msemo: MUNGU SI ATHUMANI
Mtemakuni
Huyu alipata adhabu gani mpaka huu mkwala ukaibuliwa "UTAKIONA CHA MTEMAKUNI"
Sikukuu ya Iddi
Ina nini hasa...