Today is MY Birthday...

Happy birthday........ngoja niende pale dukani kwa mangi nikununulie mfuko mzima wa pipi maziwa
 
Wakuu!
namshukuru Mungu kwa kuendela kunipa pumzi na uzima wa bure, leo nimegonga miaka 24.
Oooh Gosh!
I didnt expect that we have that much agers in these forums!...ni 24 au umekosea na 42?
By ze way, congrats young man...you must be so energetic and kicking at that age!
I think also that Luv thang must be driving you nuts!...I was once of that age!..the life was quite different men!
 
happy besdei kijana. natumaini unaendelea na maandalizi ya majukumu mazito. may u chase u those dreams!
 
Wakuu!
namshukuru Mungu kwa kuendela kunipa pumzi na uzima wa bure, leo nimegonga miaka 24.

Hongera sana mkuu,
USHAURI WANGU: Kwa kutambua uzito na umuhimu wa siku ya leo katika life yako bora utembelee mayatima/wagonjwa/utoe sadaka(fungu la kumi) au ufanye sala ya maombi kwa ndugu zako walotangulia mbele ya haki.

Samahani kama ushauri wangu hautokuwa na maana kwako.

Amani ya bwana iwe nawe..
 
Umeacha kuandika amtafute Mchungaji Masa apate baraka!
 
Wakuu!
namshukuru Mungu kwa kuendela kunipa pumzi na uzima wa bure, leo nimegonga miaka 24.

Orait....kwa umri huo, u have so many potentials....so play safe kitu cha kwanza...cha pili...kama signature yako inavosema

Leo party wapi sasa tualikane

Happy birthday!
 
haaa haaa, Mangi ataona uchuro kukuona unanunua mfuko mzima wa pipi, wakati yeye huwa anauza rejareja. unataka apate hasara?

Happy birthday........ngoja niende pale dukani kwa mangi nikununulie mfuko mzima wa pipi maziwa
 
Ulienda maa ya 2 clinik kupata cheti kingine?? acha zako bana, hembu edit huo umri wako fasta sana kabla sijakuumbua....anyway LONG LIVE BOY.
 
Mkuu nipo visiwani hapa kuja Dar najifikiria, lakini kama upo hapa Zenji party itakuwa pale TATU Resto near to Serena INN

Orait....kwa umri huo, u have so many potentials....so play safe kitu cha kwanza...cha pili...kama signature yako inavosema

Leo party wapi sasa tualikane

Happy birthday!
 
images
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom