Madereva na simu

imma.one

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2011
Messages
545
Points
195

imma.one

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2011
545 195
Inakera sana na mara nyingi ndo huwa chanzo cha ajali nyingi za barabarani.
Unakuta devera huku anaendesha tena mwendo kasi huku anatuma sms jamani inawezekana kweli?
Tuwakemee sisi kama abiria tuwakemee kwani ni maisha yetu.

MAMMAMIA

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Messages
3,820
Points
0

MAMMAMIA

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2008
3,820 0
hio ni kwe gari binafsi au basi la abiria?
Ni kwa magari ya aina zote, binafsi na abiria. Mwezi wa tano nlikuwa ninatoka Morogoro kuelekea DSM katika basi la abiria na dereva kila baada ya dakika chache alikuwa anapokea, kupiga simu na kuandika sms.

sweetlady

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2010
Messages
16,969
Points
1,250

sweetlady

JF-Expert Member
Joined Dec 24, 2010
16,969 1,250
Pole kwa kukerwa.
Off topick: mzima yakhe? Kloro na uporoto je? Hawajambo?
Back to topick: ni kweli wako madereva wanaotuma sms huku wanaendesha, niliwahi kushuhudia abiria wakimshusha dereva na kumpa makofi ya ukweli kwa sababu alikuwa busy na cm, akakoswa koswa na dereva mwenzie! Dawa ni kumshusha na kumpa kipigo ili iwe fundisho kwake na kwa wenzie wenye hizo tabia.

Husninyo

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2010
Messages
23,796
Points
2,000

Husninyo

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2010
23,796 2,000
Off topick: mzima yakhe? Kloro na uporoto je? Hawajambo?

Back to topick: ni kweli wako madereva wanaotuma sms huku wanaendesha, niliwahi kushuhudia abiria wakimshusha dereva na kumpa makofi ya ukweli kwa sababu alikuwa busy na cm, akakoswa koswa na dereva mwenzie! Dawa ni kumshusha na kumpa kipigo ili iwe fundisho kwake na kwa wenzie wenye hizo tabia.

khaaa! Mi mzima ila kloro na uporoto ni members wa jf?

Kisima

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Messages
3,824
Points
2,000

Kisima

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2010
3,824 2,000
Inakera sana na mara nyingi ndo huwa chanzo cha ajali nyingi za barabarani.

Unakuta devera huku anaendesha tena mwendo kasi huku anatuma sms jamani inawezekana kweli?

Tuwakemee sisi kama abiria tuwakemee kwani ni maisha yetu.

We si umesema ni FreeMason sa inakuwaje unaamini kuwa ajali nyingi husababshwa na uzembe waeither madrivers au mamlaka husika?

Mzee

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2011
Messages
13,469
Points
2,000

Mzee

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2011
13,469 2,000
Inakera sana na mara nyingi ndo huwa chanzo cha ajali nyingi za barabarani.

Unakuta devera huku anaendesha tena mwendo kasi huku anatuma sms jamani inawezekana kweli?

Tuwakemee sisi kama abiria tuwakemee kwani ni maisha yetu.

huo muda wa kuwakemea uko wapi. Watakuelewa ndg.

Forum statistics

Threads 1,391,500
Members 528,416
Posts 34,082,879
Top