Nimewamiissssssss

Nimewamiissssssss

Kabakabana

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2011
Posts
5,550
Reaction score
1,166
habari za jioni marafiki?nilikuwa kimya sana kwasababu nilisahau password lakini tupo pamoja sana

Thank you for making my day... for kweli nimecheka bila kutegemea..... Dah! PW umeipata wapi sasa??

Punguza uzembe kijana, Next time kuwa makini, bora usahau namba yako ya simu, jinsia yako ama umri wako lakini si Username or password ya Jf. Karibu sana, tupo humu. Nyani ngabu, Mr.ChweChwe na Malaria Sugu pia wamekumic!

Ahahahahaaah!! Password unasahau?? Umeipata wapi?

Punguza uzembe kijana, Next time kuwa makini, bora usahau namba yako ya simu, jinsia yako ama umri wako lakini si Username or password ya Jf. Karibu sana, tupo humu. Nyani ngabu, Mr.ChweChwe na Malaria Sugu pia wamekumic!

jamani mbona nasikia malaria sugu kawa banned amerudi tena?

Thank you for making my day... for kweli nimecheka bila kutegemea..... Dah! PW umeipata wapi sasa??

aisee sijui ilikuwa ni stress au vipi,lakini leo nimetulia nikawa nawaza kitu gani nakipenda maana ndio hyo password dah ghafla nikashtuka na kulog in haraka nimefurahi kweli

mi nimekumiss wewe.
Mimi je? Yan nimekumiss mpaka nataka nije mpwapwa kwa mguu, ila usijali, nikipata nauli mpwapwa ntakufuata... Mi mzima wa afya mpendwa..

hahaha! Usije kwa miguu utatoka vigimbi. Lol!
Poa mpendwa kama upo mzima.

Basi ntamwomba uporoto anipe lift kwenye kale kamkweche chake..

Back
Top Bottom