Wakuu naomba mchangie hii thread ili nami nijisikie raha na amani ya moyo. Changia ili niwe na uhakika kama hii habari ni kweli au uzushi mtupu. Pia naomba unipe ushauri wako juu ya hili jambo.
Mr. Mrema the Chairman of TLP ;While visiting England, Mr. Mrema the Chairman of TLP was invited to have tea with the Queen. He asked her what her leadership philosophy. She said that it is to...
Aisee ni baada ya kuvunjiwa duka na kuibiwa kila kitu,japo nyumbani kulikuwa na salio kdogo....
MKE>sasa baba masawee haya maisha tutaishi mpaka lini...mimi nimechoka bwana.
ZeMANGI>vumilia tu...
How a man withdraws cash from the ATM: (1)Park the car. (2)Go to ATM. (3)Insert card. (4)Enter PIN. (5)Take money. (5)Drive away. ---------------------------- How a woman...
Utafiti mdogo niliofanya kujua ni kwa vipi watu huibuka na utajiri wa muda na muda mrefu wakatu wa kampeni za uchaguzi mkuu/mdogo.
Na ili pesa zimwagwe ipasavyo ni palee ambapo fisadi anapotaka...
Ninaomba kila mwanachama na shabiki wa chadema kutangaza sera na itikadi za chama kwa kila mtu na kila mahali.pia tuwahimize watu wajiandikishe kupiga kura muda utakapofika pia tuwaelimishe watu...
Viongozi wastaafu na walioko hapa nchini wamekuwa matajiri ghafla mno. mathalan, wanamiliki viwanda vikubwa vya sukari,mashirika ya ndege, mabenki, mahoteli, majengo makubwa ya ghorofa nk...
''asilimia hamsini ya madini ya dunia yanatoka Afrik, asilimia kumi ya mafuta ya dunia yanatoka afika, Afrika kuna ardhi asilimia 60 ambayo haijalimwa lakini yafaa kwa kilimo''. sasa huyu baba...
Habari wakuu poleni au hongereni kwa shughuli za kutwa nzima ya leo. Leo nimetembelea jukwaa la utambulisho na kuona jinsi wageni wanavyobisha hodi na kukaribishwa humu ndani kwa style mbalimbali...
mkuu naomba kuwasilisha,hivi ni kwanini kila mtu analalamika tu?prezida analalamika...... pm...... waziri wa..... katibu mkuu...... mkurugenzi wizarani......mkuu wa mkoa.....mkuu wa wilaya...
Hivi umewahi kujiuliza kwanini mtu akijamba anatema mate au alieko pembeni anatema mate, je kuna mahusiano gani kati ya harufu na mate? Je mate yanakua yamechafuka hataki kuyameza? Je akiyatema...
Siku moja baba mwenye nyumba alirudi ghafla nyumbani na kumkuta mkewe na House boy wake wakiivunja amri ya sita.
Mzee kwa hasira akamkaripia house boy wake.
Mzee: Wewe mwehu Ninakulipa ili...
Johnny:hello is this 911?
Police:yes whats your emergency
johnny:2 girls are fighting over me
police:and whats wrong with that?
Johnny:the ugly one is winning......hurry
Naogopa ban ndo maana nawaomba kibali enyi wakuu..
Pia naogopa jela ndo mana nawaomba enyi 'tcra' kbali kdogo tu kutoka kwenyu cha kuwatukana hawa watoa huduma ya mawasiliano 'tigo' kwa kuwa cku...
Jamaa flani aliezoea sana kushinda FACEBOOK alipigiwa cmu kuwa mkewe kafariki na kwamba anatakikana haraka fasta aende akamtambue kama ndie kweli mkewe...jamaa kadaisha "aisee nipo bize sanaaa...
A Question Asked In A Talent Test:
If You Are Married To 1 Of The Identical Twin Sisters, How would You Recognize Your
WIFE?
The Best Answer
- Why d Hell Should I recognise?