I feel Guilty

I feel Guilty

Lukansola

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2010
Posts
5,435
Reaction score
1,611
Habari wakuu poleni au hongereni kwa shughuli za kutwa nzima ya leo. Leo nimetembelea jukwaa la utambulisho na kuona jinsi wageni wanavyobisha hodi na kukaribishwa humu ndani kwa style mbalimbali. Nikaji-feel ku-miss something, sina kumbukumbu kama nilijitambulisha wakati nikijiunga na jf. Ningeweza kucheki post yangu ya kwanza lakini kasimu kangu hakaniwezeshi kufanya hivyo. Naombeni basi mnikaribishe rasmi leo hii ili nipate ile feeling niliyoi-miss.
 
Tulia hapo kwenye kiti upewe sheria za jamvi, unatumia kinywaji gani?......lol!
 
Hivi mfano for instance mimi ambae nilijiunga baada yako naruhusiwa kukukaribisha??

Nadhani unaruhusiwa AshaDii, kwa sababu mimi hapa na act kama ndo kwanza naingia, kwa hiyo nadhani it makes sense kwa yeyote kunikaribisha, karibu unikaribishe AshaDii (LoughOutLoud)
 
Tulia hapo kwenye kiti upewe sheria za jamvi, unatumia kinywaji gani?......lol!

Asante mkuu Katavi, mimi bana nakunywa Guiness baridiiii. Te he he he, kama hakuna Guinness hata kili poa tu.
 
Habari wakuu poleni au hongereni kwa shughuli za kutwa nzima ya leo. Leo nimetembelea jukwaa la utambulisho na kuona jinsi wageni wanavyobisha hodi na kukaribishwa humu ndani kwa style mbalimbali. Nikaji-feel ku-miss something, sina kumbukumbu kama nilijitambulisha wakati nikijiunga na jf. Ningeweza kucheki post yangu ya kwanza lakini kasimu kangu hakaniwezeshi kufanya hivyo. Naombeni basi mnikaribishe rasmi leo hii ili nipate ile feeling niliyoi-miss.

Mie sikukaribishi kwa sababu nahisi na hii nayo utaisahau, pengine wewe ni bingwa wa kubadili ID ndo maana ya hiyo hapo BLUE
 
Karibu sana mkuu jisikie upo geto
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom