Hivi umewahi kujiuliza kwanini mtu akijamba anatema mate au alieko pembeni anatema mate, je kuna mahusiano gani kati ya harufu na mate? Je mate yanakua yamechafuka hataki kuyameza? Je akiyatema ndio harufu puani inaisha? Najiuliza sana
kwann ujambe kwani ulilazimishwa kula kupita kiasi? Tangu nimepata ufaham cjawahi kujamba...lol.
kwann ujambe kwani ulilazimishwa kula kupita kiasi? Tangu nimepata ufaham cjawahi kujamba...lol.
inabidi ujambe ili ya fyuuu...!!taratibu.jambia mahakani uone.hamna wa kutema mate.mia
JF pasua..lol