Kutajirika wakati wa Kampeni na Wakati wa Uchaguzi Mkuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutajirika wakati wa Kampeni na Wakati wa Uchaguzi Mkuu

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by eedoh05, Oct 28, 2011.

 1. e

  eedoh05 JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 633
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Utafiti mdogo niliofanya kujua ni kwa vipi watu huibuka na utajiri wa muda na muda mrefu wakatu wa kampeni za uchaguzi mkuu/mdogo.
  Na ili pesa zimwagwe ipasavyo ni palee ambapo fisadi anapotaka cheo cha kisiasa ndaani ya ya cha tawala (CCM). Pia katika majimbo ambako vyama vya upinzani vimvuto mkubwa kwa wananchi. Vile vile, maeneo yote ambayo CCM wamepoyezamvuto.

  Rshwa na ugawaji wa fedha hufanywa katika viwango na kwa mojawap ya namna hii:
  • Wakati wa kmpeni za maoni wana-ccm hujua kuwa vichuguu vimefika wakati wa kutoa kumbikumbi. Wakati huu huambulia angalau sh.5,000/-
  • Mawakala kwenye chaguzi,polisi,usalama wa taifa,maofisa wa tume ya uchaguzi hutengewa takribani sh.1,000,000/- kwa kila mmoja ili kuchakachua idadi ya kura za mshindi.
  • Sherehe na tafrija kubwa huandaliwa inapotokea asiyestahili akatangazwa mshindi.
  Mfano,katika uchaguzi mkuu mwaka jana kila kituo katika maeneo ambayo wapinzani wanaonesha kushinda, kila kituo kilitengewa milioni 10 au 15 kwa ajili ya kununua mioyo na uadilifu wa wa wahusika. Mathalan,jimbo la kinyerezi nk.
   
Loading...