Mzee mwenye nyumba na house boy.

Mzee mwenye nyumba na house boy.

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Posts
10,955
Reaction score
4,663
Siku moja baba mwenye nyumba alirudi ghafla nyumbani na kumkuta mkewe na House boy wake wakiivunja amri ya sita.

Mzee kwa hasira akamkaripia house boy wake.

Mzee: Wewe mwehu Ninakulipa ili ufanye huo upuuzi wako.

House boy: Hapana mzee, hii naifanya Free of charge.
 
huyo dogo hajawahi fumaniwa aje uswaz aone kama hawajamtigolize
 
Back
Top Bottom