paw, invisible na mod's wengine na 'TCRA' naomben kibali cha kuwatukana 'tigo'

Oct 21, 2011
20
4
Naogopa ban ndo maana nawaomba kibali enyi wakuu..

Pia naogopa jela ndo mana nawaomba enyi 'tcra' kbali kdogo tu kutoka kwenyu cha kuwatukana hawa watoa huduma ya mawasiliano 'tigo' kwa kuwa cku hz wanaboa mpaka kero na kukata fedha ovo ovo..mfano mdogo tu jana nliweka vocha ya elfu mbili mida ya saa 12 jion hv,na nkaongea na mtu kwa dakika 7.31 sasa je hi ndo sote n ndugu?

Na hata muda mwngne mtu anakupgia simu anaaambiwa hupatkan wakat upo hewan..sasa hi nin?au ndo mmelewa cfa?..na ksha mnapunguza gharama nyakat za ucku..sasa mm niache kupumzka ucku niongee na cm??? Wakat maandko yanasema 'ole wenu kwa mtakaogeuza ucku kuwa mchana'..

Namuandaa mwanasheria wangu niwashtaki kwa kuwa ushahid ninao kwa kukiuka mkataba wangu na nyie(tgo) wakat najisajil..
Yan mmenkosesha dil kbao na hata 'honey moon' wangu analalamika namzmia cm kumbe 7bu ni ninyi..

Angalizo ;

Kama nikiachwa i swear nakuja kuwaoa nyie na mtanpa alvyokuwa ana nipa 'honey moon' wangu


nasubiri kibali
 
Kwani umelazimishwa kubaki Tigo? Au mkataba wako na tigo una vipengele ambavyo ukivunja utashtakiwa?
 
Ngoja nikutafutia lugha ya kutukana na usipewe ban
 
Mimi naonaTCRA Wako kwenye payroll ya haya makampuni ya mawasiliano ndio maana hamna hatua zozote zinazochukuliwa hata wananchi walalamike vipi!
 
kukata ela wao saiv ndo dili na ofa zao za uongo ilee mbaya, tigo looo wamenichosha, tukana tu baba hutopewa ban wala nn
 
Hakuna haja ya kuwatukana. We wahame tu. Usijipe presha mkuu.
 
ukitaka kuwatukana vizuri mkuu nenda kwenye Facebook gonga Like pale na poromosha matusi kwenye wall yao unavyopenda.
 
Back
Top Bottom