Aisee mama masawee unanichanganya...!!!...

ZeMangi

JF-Expert Member
Oct 21, 2011
436
33
Aisee ni baada ya kuvunjiwa duka na kuibiwa kila kitu,japo nyumbani kulikuwa na salio kdogo....
MKE>sasa baba masawee haya maisha tutaishi mpaka lini...mimi nimechoka bwana.
ZeMANGI>vumilia tu mke wangu japo kwa hii wiki....sawa baby.!?
MKE>Khaaaa...mme wangu,yaani wk nzima tutaishi hivi.!!!??..aagh!mimi nimechoka bwana,yaani m2 una tshs 4,201,500/= ndani alf tunaish maisha ya ajabu hivi,kama ndo hivyo bora niondoke niende kwe2 kibaha
ZeMANGI>Mke wangu hiyo hela ni ya kuanzishia duka lingine pale mjini...vumilia tu kwani mpk sa iv nshapata hela ya kukodi kibanda...sawa!
MKE>Hapana mi sikubal,nimetumia hela yangu niliyoweka akiba kununulia mboga hadi imesha...ww nakuomba jero nikanunue japo samaki tule na ugali unakataa... jana ucku tumekula tikitimaji na chai,asubuhi tumekunywa mbege masawe akaenda shule,mchana huu unasema eti nipike uji ili unga usiishe haraka...nakuuliza tutakunya uji na nn...unasema karoti....nimechoka mm naondoka bwana..... Siwezi ...siwezi...
ZeMANGI>Yesuu...usiondoke mke wangu.,usiondoke naomba uvumilie japo ka wiki..tu!
MKE>hapana niache...nimesema niache....naenda kwa shangazi yangu hapo kiboroloni atanipa naul alf mi naenda...nimechoka nimesema...haaa mwanaume gan ww!?
ZeMANGI>yesu na mariaa...kumbe kweli umedhamiria kuondoka..?na mm naenda kwa wazazi wako warudishe mahari nliyokutolea...niongezee mtaji..kama wakikataa bora rafk yangu Limo akuoe maana hela yangu ya mahari haiwezi kwenda ivi ivi..
 
wacha kudhalilisha wachagga. Japo wachagga ni wachacharikaji, wachumi na wapenda pesa, lakini wanapenda sana familia zao. Mchagga mwenye busara hawezi fanya ivi.
 
Back
Top Bottom