Ninaomba kila mwanachama na shabiki wa chadema kutangaza sera na itikadi za chama kwa kila mtu na kila mahali.pia tuwahimize watu wajiandikishe kupiga kura muda utakapofika pia tuwaelimishe watu umuhimu wa kupiga kura.kila mtu ahakikishe anaongeza mwanachadema angalao mmoja kila siku.ni jukumu la kila mtu anaetakia mema taifa hili.
Naomba kuwasilisha.
Naomba kuwasilisha.