View attachment 40164
an epic fail dude
mkuu umepata cha arusha nini leo?? LOL
View attachment 40165
Wakuu naomba mchangie hii thread ili nami nijisikie raha na amani ya moyo. Changia ili niwe na uhakika kama hii habari ni kweli au uzushi mtupu. Pia naomba unipe ushauri wako juu ya hili jambo.