Facebook mbona balaaa!

Facebook mbona balaaa!

fundiaminy

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2009
Posts
354
Reaction score
52
Jamaa flani aliezoea sana kushinda FACEBOOK alipigiwa cmu kuwa mkewe kafariki na kwamba anatakikana haraka fasta aende akamtambue kama ndie kweli mkewe...jamaa kadaisha "aisee nipo bize sanaaa hebu mpigeni picha na muiupload Facebook na mnitag kama ndie nitagonga "LIKE"...ebwanawee! Fb noma.
 
kila mmoja na ugonjwa wake nae huyo usimlaumu! May be fb ni zaidi ya mke kwake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom