Mwanamke nywele.
Je mwanaume nini?
Mwanaume ndevu,lol
wengine hatuna ndevu, mwanaume sauti nzito.
Wapo wasiokuwa na sauti nzito banaa! Basi mwanaume salio la benki
Wapo wasiokuwa na sauti nzito banaa! Basi mwanaume salio la benki
like!!! Mwanaume master card!!mwanaume koromeo lol!na sifa yake ni kazi kunako!
Tatizo siku hizi kuna za bandia!View attachment 40044..........mke mwenza style lol
Mwanaume ndevu,lol
Haaa haaaa haaaaa,kwangu km hana master card tutaitafuta tu,cha muhimu aijue kazi kikamilifu sio kuchafuana km yaliyomtokea yule shost!like!!! Mwanaume master card!!
mwanaume ....mwanaume....ahhh....
nimependa style ya nywele.....kitu cha hedikofta.....ha ha....
salon gani hii Jestina....
thethethethetehethet!! Jamani mambooo hayoo!!mwanamke kitumbua.otis.