Saluni ya urembo inayomilikiwa na William Porter
Sunday, December 04, 2011 7:58 PM
Mwanamke mrembo wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 25 tu amekiona cha moto baada ya kukubali kuolewa na babu wa...
If you kiss her, you are not a gentleman,
If you don't, you are not a man.
If you praise her, she thinks you are lying,
If you don't, you are good for nothing.
If you agree to all her likes, you...
eti jamani mie nataka kuuliza wale ambao wameoa au kuolewa na mzungu alafu wakafanikiwa kupata watoto
je watoto wakiuliza baba mbona wee mweupe na mama mweusi au vice versa huwa wanajibugi nini?
Kama ilivyo kawaida yetu Serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania inajiaandaa kuunda tume huru ya kuchunguza chanzo na athari za mafuriko yaliyotokea jijini dar es salaam ndani ya hizi siku mbili.
Wavuta bangi wawili
waliliona embe juu ya mti
wakaamua
kuliangusha.Walirusha
mawe mengi bila
kufanikiwa kuliangusha
lile embe.Mvuta bangi
mmoja akasema;isije
ikawa embe lenyewe
bichi,ngoja nipande...
Bosi wa Tanroad aliwapeleka ma-contractor watatu(mtanzania,mjerumani na mfaransa) kwenye daraja linalohitaji ukarabati ili wapige makadirio wanahitaji kiasi gani. Contractor Mfaransa akalipima...
Mwalimu alimuuliza mwanafunzi wake: Mwalimu 'gari kwa kiingereza inaitwaje?. Mwanafunzi akajibu 'CAR'. Mwanafunzi wa pili akaulizwa, Mwalimu 'baskeli kwa kiingereza inaitwaje?. Mwanafunzi akajibu...
[1]Katika viumbe vyote ni binadamu na dolphin pekee ndio hufanya mapenzi kwa kujistarehesha,wengine hufanya kwa ajili ya uzazi.>>> [2]Ukimkuta Nyati anaoga atajitahidi kadri anavyoweza...
Last week niliitwa kwenye kikao cha kesi ya kifamilia.
Mimi nikiwa mmoja wa viongozi wa serikali ya mtaa nilikuwepo kikaoni kwa nafasi yangu.
Shtaka lilikua baina ya Mke na Mume, ambapo mke...
Napenda kujitakia siku njema ya kuzaliwa, nawashukuru wazazi wangu kupendana na kunizaa mtoto bomba kama mimi,
namshukuru mwenyezi mungu kwa kunipa pumzi mpaka sasa, nashukuru family yangu kwa...
Ndio nimerudi jana kutoka Mbekenyela Lindi kusimamia Harusi ya Shoga yangu, hamjambo wana JF wote!
nawatakia sikukuu njama za X-Mass na Mwaka Mpya, Inshaallah Mungu akipenda nitakuwa Jijini Dar...
"Mwenzio nina shida kubwa sana najua wewe ndio wa kunitatulia shida yangu,naomba uniazime sh laki tatu tu nitakurudishia wiki ijayo,najua unazo" alisikika Wa kusoma akiiomba ATM moja(jina la benki...
MC akasema,sasa nawapa sifa kubwa ya bibi harusi mtarajiwa,yeye huwa havai nguo za ndani,watu wakaduwa na kubaki vinywa wazi,akasema narudia tena na sijakosea,yeye huwa havai kbs nguo za...
Wadau pokeeni salamu zangu mi ninaenda zangu vijijini hakuna network.nawatakia mafanikio ya mwaka 2012 na Hongera sana JF kwa kazi nzuri ya kuelimisha jamii
Napenda kujitakia siku njema ya kuzaliwa, nawashukuru wazazi wangu kupendana na kunizaa mtoto bomba kama mimi,
namshukuru mwenyezi mungu kwa kunipa pumzi mpaka sasa, nashukuru family yangu kwa...