Aipigia magoti ATM

Aipigia magoti ATM

nickname

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2009
Posts
544
Reaction score
151
"Mwenzio nina shida kubwa sana najua wewe ndio wa kunitatulia shida yangu,naomba uniazime sh laki tatu tu nitakurudishia wiki ijayo,najua unazo" alisikika Wa kusoma akiiomba ATM moja(jina la benki limehifadhiwa) usiku wa manane wa tarehe 20 Desemba,2011 katikati ya jiji la Dsm.

Ukata ni noma!
 
Hahahaaaaa wakusoma kweli hajambo.
 
Dah! na inasemekana ATM ilimpa ni kweli Exellent.
 
Hahahaha na kweli maana yule akili zake hata shetwani hazielewi.
 
Kama ni wakuRead mi sishangai hata kidogo kwa sababu nimewahi kumshuhudia kwa macho yangu anachezewa wowowo na wenzie
 
Naona kapigwa bann la 30days wakati aliomba la 5days, nimewasiliana naye akaniambia anakata rufaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom