Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,933
- 1,294
Nachinja ngamia,bata bukini,bata mzinga, na mishkaki ya swala! Ciaos!
Nachinja ngamia,bata bukini,bata mzinga, na mishkaki ya swala! Ciaos!
Unadhani wote humu walokole kama wewe? kilaza kwelikweli wewe.
Aisee ni kweli huyu ni WA KUSOMA,wakusoma kaja na id nyingine, duh!!
Aisee ni kweli huyu ni WA KUSOMA,
Si unaona anatumia maandishi mekundu km ya mwanzo????
Dah mwenyewe
Dah asaante sana ila hata aje kwa namna gani, atajulikana, si unajua tabia haifichiki???? Atajisahau na ma Intelijensia watamjua haraka.Khaaa ! Polen sana
Mi nilidhani yule mkuu wa meza atakuwepo!...
Unadhani wote humu walokole kama wewe? kilaza kwelikweli wewe.
Mama mbavu zangu! Teh teh tehWakusoma kakimbia milembe! Hajamaliza dozi! Hata aje na id ya obama tutamjua tu! Kichaa uyoo!