Tuache kuiga mambo ya wazungu..

Tuache kuiga mambo ya wazungu..

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
55,030
Reaction score
59,684
Kwa nini hapa JF kunadondoka snow? kwa nini isidondoke mvua?
 
Wee koma komaa (JOKES).

Yaani na mafuriko yote hayo, bado wataka Mvua hadi JF? Uzuri wa Mafuriko ya Dar ni joto linakuwa kali.

Ingelikuwa kule kwetu Kamchatka, hehehee Tatiana utamkimbia 🙂

Ila sema hapo ni mwendo wa Vodka na Kalubasa kwa saaana, mkipozea makali ya Mafuriko na baridi.
 
hahahahahaha lol
imenibidi nicheke kwa kweli loohh
dahhh Ivuga kwa hiyo snow ni mambo ya wazungu tu??
 
Kwa nini hapa JF kunadondoka snow? kwa nini isidondoke mvua?

Haiwakilishi Wazungu pekee, kule Makambako hivi sasa baridi mpaka vi-snow flakes vinajitokeza. Moshi nako baridi ya ajabu. Wahisani wetu wa Kichina wenye asili ya Tibet walio ndani ya nchi yetu nao kwao huko sasa hivi inadondoka... aaah, nimesahau, Dodoma hakuna mvua! Lol :biggrin:
 
Back
Top Bottom