Mzab ! Wajua watoto samtaimz huja na miswali ya kipasuakichwa lakini si lazima u'respond actual reply ! Majibu ya zugeshen hutumika, ukifika muda wao kujua watajua.
Mfano upo msemo "mtoto halali na pesa!"
Kwamba mtoto anaweza kulilia pesa/hela achezee, usimnyime ! Mpe tu anyamaze kulia, mwisho wa yote atalala nayo mkononi ! Unaichomoa na kuendelea na mengineyo.