Jaguar
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,440
- 1,029
Bosi wa Tanroad aliwapeleka ma-contractor watatu(mtanzania,mjerumani na mfaransa) kwenye daraja linalohitaji ukarabati ili wapige makadirio wanahitaji kiasi gani. Contractor Mfaransa akalipima daraja kwa tape kisha akapiga mahesabu,akasema anahitaji mil.700 ili apate faida ya mil.100.>>>> Contractor Mjerumani naye baada ya kupiga mahesabu yake akasema anahitaji mil.800 ili apate faida ya mil.100.>>>> Contractor Mtanzania hakupima daraja wala kupiga mahesabu,akasema anahitaji 2.7 bilion!.>>>>Bosi wa Tanroad akamhoji contractor mtanzania;unatoaje makadirio bila kupima daraja wala kupiga hesabu?.>>>> Contractor mtanzania akajibu;'bilioni moja yangu,bilioni moja nyingine yako halafu hiyo milioni 700 inayobaki tutampatia mfaransa atengeneze daraja letu!