JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Shikamoni kina dada wa kike na wa kiume Nimewamiss sana. Nilienda nje ya nchi kwa ajili ya kufanyiwa marekebisho ya umri. Wataalam wamefanikiwa kupunguza umri wangu mpaka kufikia miaka 30 tu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Phrases huwa zina originations...Ingia humu kama unataka kujuwa baadhi ya maneno yalikoanzia... WORDS, PHRASES or SAYINGS - Origins, Meanings by Brownielocks.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wana-JF, sijajua kama ni mahala pake lakn ningependa kuuliza "HIVI KATI YA MWAKA MPYA NA X-MASS" ni sherehe gani inaanza??
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwenye mashindano ya kula ugali kwa mboga ya ajabu washindi walikua kama ifuatavyo, mshindi wa tatu alikula ugali kwa kulumangia na chumvi mfuko mzima, mshndi wa pili alikula ugali bakuli la maji...
10 Reactions
16 Replies
2K Views
padri alikuwa anafuga......cku moja jogoo wake mmoja alipotea akaamua kutangaza kanixan PADRI;Waumin wangap wanajogoo? Wanaume wote wakasimama....... PADRI; akasema sio hivyo ni wangap...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakati wenzutu wakiwa bize kubanana, kuwajibishana, na kutekeleza mipango yao ya kimaendeleo kwa umakini wa hali ya juu. Sisi viongozi wetu wapo wapo tu, huku wakiwa wazito wa kuja na fikra mpya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kadiri siku zinavyosogea kuelekea mwaka 2012 nazidi kuwa na hofu kwa sababu ya mambo yanayoendelea ulimwenguni ikiwa ni mapinduzi katika nchi za kiarabu na mgogoro juu ya iran na marekani, mwaka...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
atakae kamatwa na album fake ya twanga pepeta atacheza nyimbo zote za twanga hapo hapo on sport bila kukosea steps-asha baraka.:nerd: mama comedy yule mh
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mwanamke mmoja alikuwa haridhiki jinsi nguo zake zilivyokuwa zinafuliwa zikipelekwa kwa mwenye mashine za kufulia. Siku moja akampa mtu ampelekee jamaa mwenye mashine afue nguo na kumpa karatasi...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Na kitu gani kimekuvutia kwake? Mi bado mgeni sijafahamu member wa humu vizuri nataka niwafahamu wenye sifa mbalimbali. Kwa sasa najipenda mwenyewe.
0 Reactions
69 Replies
5K Views
Ni swali tu... kama unanikubali usione soo kunipa sifa ninazo sitahili
1 Reactions
11 Replies
1K Views
kiNdugu zangu kweli wizi nooma! Nimeshudia live kibaka akipiga kelele baada ya kujaribu kumchomoa wallet mtu mmoja kwenye daladala na kukuta ni nyoka. Tukio hilo limetokea pale ambapo kibaka huyo...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Mkuu Zitto haya ni maoni yangu binafsi. Umekuwa ukitofautioana na viongozi wa juu wa CHADEMA kwa mambo yasiyo ya lazima, (utoto). Nimeshindwa kukusoma wewe ni mtu wa aina gani haswa. Nndugu...
3 Reactions
68 Replies
6K Views
Mama Ajiunga JF Kwa Jina La Beib Loveee Baba Ajiunga Kwa Jina la Prezda wa kitaa WOTE WAMEJIUNGA JF KWA SIRI NA HAWAKUWEKA AVATAR mara mazoea yakaanza kukutana kwenye threads za MMU na Chit Chat...
4 Reactions
89 Replies
6K Views
jamani jf ni raha nadhani sina mda mrefu nimejoini ila raha niliyonayo haielezeki, avitar zinanifurahisha sana, signatures, comments yaani raha tupu mda mwingine hata mke wangu ninamsahau...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
A huge crowd in front of a library because of a simple spelling mistake!>>BOOBS AVAILABLE FOR RENT!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nategemea kuwa hapo kuanzia kesho jioni mpaka Ijumaa wadau nifurahi kuonana nanyi..... niwaletee nini kutoka pwani?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/204135-tendwa-haungi-mkono-kafulila-kufukuzwa.html https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/204134-tendwa-anena.html Hizi ni post mbili zimetumwa na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwalimu:hamjambo jan niliwaachia home work? Baraka:ndio mwalimu uli2ambia 2chore pcha ya ng'ombe mwalimu:Sasa wewe baraka mbona unanionyesha karatas leupe inamaana...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom