Happy B'day for me

Happy B'day for me

BlackBerry

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
1,839
Reaction score
959
Napenda kujitakia siku njema ya kuzaliwa, nawashukuru wazazi wangu kupendana na kunizaa mtoto bomba kama mimi,
namshukuru mwenyezi mungu kwa kunipa pumzi mpaka sasa, nashukuru family yangu kwa support, now, another year older,
and more wiser, and as well im living my dream

nawapenda woooote
ujumbe zaburi 118
 
kata keki tule, kata keki tule, kata keki tule, kata keki tuleeeeeeeeeee
Happy Birthday
 
Happy bday mpendwa BB.


Mungu akupe maisha marefu yaliyojaa, furaha, upendo, hekima, busara na amani...


Naelekea ukumbini kuendelea na shughuli ya upambaji.
 
"Black Berry... HONGERA Dear kwa siku yako yakuzaliwa.

Mwenyezi Mungu Akujalie, Akubariki, Akuneemeshe na

Kukupa Maisha MAREFU yalojaa MAFANIKIO"


:flypig:....HAPPY BIRTHDAY BB....:flypig:
 
How old are u now? Happy b day!

Usione anafanya maksudi mazima kukujibu ! Tatizo hili swali sijui kwa nini mara nyingi hua halipatani na Netwk ukimuuliza tu mtu Jf minara hasa ule mkongo wa Taifa system ina - go dauni !
 
Tangu asubuhi ulikuwa wapi hata hujatujuza, au ulizaliwa saa saba mchana LOL
Happy Birthday BB
 
Happy birthday dear, I saw this pic on internet and thought of you...

bday.jpg
 
Ahsanteni sana ndugu zangu these means a lot to me , God bless you all, Merry Xmass and happy new year
 
Back
Top Bottom