Kheri ya xmass na mwaka mpya

Kheri ya xmass na mwaka mpya

kimboka one

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2010
Posts
734
Reaction score
85
Wadau pokeeni salamu zangu mi ninaenda zangu vijijini hakuna network.nawatakia mafanikio ya mwaka 2012 na Hongera sana JF kwa kazi nzuri ya kuelimisha jamii
 
Kimboka one... Asante saana..

:A S 465:....Kila la kheri nawe pia katika hizi sikukuu za X-mas na Mwaka Mpya....:A S 465:
​
 
Mbona hivyo kaka Mwita; au jamaa kagandamizia thread yako au???:yawn:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom