Vituko nilivyokutana navyo mwisho wa mwaka 2011 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vituko nilivyokutana navyo mwisho wa mwaka 2011

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Washawasha, Jan 6, 2012.

 1. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Mambo zenu wanajamii wenzangu,
  Natumaini hamjambo na mnaendelea vizuri na mwanzo wa mwaka mpya wa 2012,binafsi mwisho wa mwaka niliumaliza kwa kutembelea sehemu mbalimbali za Dunia,basi nilipofika Kongo ya Kinshasa nilikwenda kwa mganga ili kupiga ramli na kukutana na kituko cha mwaka,mganga kaweka tangazo la KUUA na bei zake. Yaani ukitaka adui yako afe kwa ajali kuna bei yake ukitaka afe kwa risasi/mafuriko/kujinyonga n.k kuna bei zake halafu kaziweka nje ya mlango wake.
  Kituko cha pili ni mbongo mwenzangu aliyesahau KANISA linaitwaje kwa kiingereza,basi alipoulizwa mambo yakawa hivi,
  MUULIZAJI:Where do you stay?
  MBONGO:Im stay nearby SUNDAY :poa(Nakaa karibu na kanisa)
  Hivi ni vituko nilivyokutana navyo mwisho wa mwaka jana mwenzangu umekutana na kituko kipi?
  Nalog off
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Hey washa washa
  Happy New Year!

  Hope hujafua tena ch.p ya mpangaji mwenzio
  Miss sana hilo chungwa.
   
 3. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #3
  Jan 6, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Upuuuzi mtupu
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Jan 6, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Kwani sadaka kwa kizungu ni nini?
  Angemwambia anakaa karibu na sadaka

  Usilog off
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Jan 6, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Haichekeshi kabisa!...na sijaona logic!
   
 6. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #6
  Jan 6, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  nawe pia,nakutakia mwaka mpya mwema,hapana sijafua tena ile kitu ndugu yangu.Nalog off
   
 7. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #7
  Jan 6, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  kwahiyo? :yawn: Nalog off
   
 8. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #8
  Jan 6, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  kwani mie nimeandika ili wewe ucheke? nimekuuliza kituko ulichokutana nacho mwisho wa mwaka ni kipi? Nalog off
   
 9. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #9
  Jan 6, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  niambie bi dada vp kwema?
  Nawe pia HAPPY BIRTHDAY FOR YOUR NEW YEAR!
  Hapana sintomfulia tena chu pi yule jirani yangu nina mpango wa kuhamia mtaa wa saba mwaka huu.Nalog off
   
 10. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #10
  Jan 6, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hope pia hajamrudisha mkewe kwao.


  @washawasha heri ya mwaka mpya.
   
 11. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #11
  Jan 6, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  hahahaha,labda angeeleweka kuliko kusema hivi alivyosema.Nalog off
   
 12. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #12
  Jan 6, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  mwaka mpya Mke mpya.
  Nawe pia HAPPY BIRTHDAY FOR YOUR NEW YEAR.Nalog off
   
 13. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #13
  Jan 6, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Leo upo kishari shari shosti, nini tatizo? Nambie nani kakuchokoza nije na fimbo nimchape.
   
 14. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #14
  Jan 6, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  labda kaamka kifudifudi au :A S-coffee:? Nalog off
   
 15. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #15
  Jan 6, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Sasa si alog off?...
   
 16. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #16
  Jan 6, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  labda umsihi wewe.Nalog off
   
 17. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #17
  Jan 6, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Ukimwona mwambie nipo huku barazani napunga upepo, anicheki kwa ushauri zaidi.
   
 18. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #18
  Jan 6, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  haina noma ngoja nimbip atakuja tu.Nalog off
   
 19. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #19
  Jan 6, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,907
  Likes Received: 203
  Trophy Points: 160
  Washawasha iz baki, heri ya mwaka mpya mkuu. nilihisi umedanja basi nikakupa RIP, hope uliipata. Unaweza kuirudisha au ukabaki nayo just in case..

  kuhusu kuua, wewe ulilipia mtu wako afe kifo gani? Na ulilipa pesa ngapi? Lol
   
 20. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #20
  Jan 6, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Kichungwa kimerudi
  full nginjanginja

   
Loading...