Mjue Aisha aliye mchoma kisu meja wa Jeshi

TIQO

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
13,787
2,078
View attachment 44740

Aisha Khamisi Mbaula anayedaiwa kumuua askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Kikosi cha Anga, Meja John Tawete (45), akifikishwa Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam akikabiliwa na shitaka la mauaji ya mwanajeshi huyo.
 
Hili nalo linaweza kuwa ni shangingi?
 
Huyo dada ameweka historia...mume wake wa kwanza alifungwa baada kumchoma kisu mwanaume aliefumaniwa na huyu dada.....mara hii sasa dada nae anaenda ndani ameua mwanaume ambae amemfumania na ka binti!!!!kama senema vile!!
 
aisee huyu dada namuonea huruma kwenye hii kesi hachomoki yaani kaua mjeda? Ana hali mbaya
 
Huyo dada ameweka historia...mume wake wa kwanza alifungwa baada kumchoma kisu mwanaume aliefumaniwa na huyu dada.....mara hii sasa dada nae anaenda ndani ameua mwanaume ambae amemfumania na ka binti!!!!kama senema vile!!
duuuuuuu...hii sinema kwa kweli...
 
Huyu atafungwa na huko atakutana na mumewe wataishi maisha ya raha ila watoto watapata tabu
 
aisee sisi wanaume vimeo sana. Hebu chekishia huo mzigo ulivyo lakini wapi, jamaa akaamua akakamate kitu kingine na umauti nao ukapiga hodi. Masikini mjeda hakupata hata muda wa kutubu hiyo dhambi aloitenda. Sijui itakuwaje mbele ya Maulana!
 
Back
Top Bottom