Bi Kidude ndani ya 'Pool'

ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,971
1,650
Mtalii mmoja alienda zenji na watoto wake. Wakiwa wamepumzika baada ya kuogelea pamoja na waswahili wengine, kumbe na Bi Kidude naye alikuwamo akipiga mbizi-si unajua tena bibi anadai ktk maisha yaek amejichanganya sana majuu.

Akiwa anapiga mbizi na kuibuka, ghafla akakaribia karib na walipopumzika mzungu na mtoto wake. Mara baada ya kuibuka mtoto wa mzungu alipomuona hali ikawa kama hivi kati ya mtoto na babake:-

Mtoto wa mzungu: daddy, daddy, dady!

Baba Mzungu: Yes, my daughter, what's the matter.

Mtoto wa mzungu: Look, there is a crocodile in the pool!

Baba mzungu akashtuka na kuangalia kwenye pool kisha akasema,

Baba mzungu: No my daughter, that is Bi Kidude swimming. She is a legend of taarabu music, very famous here in Zanzibar and Tanzania in general.

Mtoto mzungu: Ooooooh! sorry daddy, i did not know!
 
Crocodile bibi yako paka shume wewe!!!!! Pambaf
 
kwani huyu si bibi, lazima ataniwe, alinivuta sana 'sigara' yangu kila nilpokuwa nikipita uchi mbele yake
 
Kwaio na we mtalii?? Makubwa.. Anyway, poa bwana Ndyoko.. Ila heshimu vikongwe bhana
 
umeshanitukana yatosha mkuu! namuogopa sana mtu mwenye lugha ya matusi, sipendi 'ban' na siko tayari kulengeshwa kwenye 'ban'
 
Hivi kama kuna mtt wake humu jf anajickiaje akisoma hii thread.ucrudie huu upumbav..ebo..!! Angekuwa bi mkubwa wako.!?
 
Duh! naona watu wanapaniki kinoma yaani wamesahau kuwa wapo kwenye jukwaa la utani. Don't panic, it's just a joke
 
Lakini hata yeye alisema wazungu walikuwa wanamkubali kwasabab eti wanadhan ni kanyani kanaimba na kupiga ngoma.
 
kwani huyu si bibi, lazima ataniwe, alinivuta sana 'sigara' yangu kila nilpokuwa nikipita uchi mbele yake

Ni kweli bibi na babuwanataniana na wajukuu.! Lakini utani huo una masharti yake; unatakiwa uwe direct facetoface siyo kama kwenye hii thread inayohusisha watu wengine wawili (mzungu na mwanae). Je, Bi kidude alisikia na kushiriki huo utani?Tatizo liko hapo.
 
kwani huyu si bibi, lazima ataniwe, alinivuta sana 'sigara' yangu kila nilpokuwa nikipita uchi mbele yake

Ni kweli bibi na babu nataniana na wajukuu.! Lakini utani huo una masharti yake; unatakiwa uwe direct face-to-face siyo kama kwenye hii thread inayohusisha watu wengine wawili (mzungu na mwanae). Je, Bi kidude alisikia na kushiriki huo utani?Tatizo liko hapo.
 
Utani unatakiwa ufurahishe na si kuchukiza, huo utani wako unachukiza na umekaa kitoto sana! omba radhi dogo usiwe mmbishi! Bibi yako aliyekuzalia mama au baba unaweza kusema alikuvutia sana sigara yako ulipokuwa ukipita mbele yake? Tabia chafu sjui znatokana na malezi mabovu, heri iwe utoto tu!
 
Dogo umeboronga. Hiyo ni kama Kashfa! Hapa wala hukua na nia ya utani nia yako ni kutueleza jnsi unavyomfananisha bi kidude.
Kumbe wewe ni Hovyoooooooooooooo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom