Kama una shida mcheki huyu jamaa!!

Zedikaya

Senior Member
Aug 10, 2011
119
14
Kwa pesa alizonazo anaweza kukutatulia shida zako zote za mbele na nyuma!
Usiondoke anakuja
 
Kwa pesa alizonazo anaweza kukutatulia shida zako zote za mbele na nyuma!
Usiondoke anakuja

nilisha wambia kuwa hili jukwaa limevamiwa na mashoga tangu Mr Cameron atoe posa! Yani kila siku post za mashoga zinazidi kupanda kwa kasi: kazi kwenu wanajf:
 
Hili jukwaa limevamiwa na waliolivamia si watu wa kawaida, haiwezekani kila siku wanawaza matusi, hawa watakuwa ni mashoga
 
Hivi kichaa au alievuta bangi ni nani?
Hivi watu hawajui utani? kucheka ni afya.
Tujaribu kupunguza stress vichwani ili tukaribishe Furaha,
Hata kama maisha magumu.
 
Back
Top Bottom