EL MAGNIFICAL
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 938
- 125
mzee mmoja alichoshwa na habari za mtaani kwamba mwanaye hata umuulize swali jepesi kupita yote ni lazima atakosa !!!
Siku moja akaamua kuandaa swali jepesi kupita kiasi ili amuulize mwanae mbele ya watu kufuta ile historia mbaya !!!
Siku ya siku ikafika mbele ya umati mshua akamuita mwanae kisha akamuuliza swali lifuatalo.....
mwanangu mtu mwenye umri wa miaka kati ya 18 hadi 35 huitwa KIJANA..... Je mtu mwenye umri kuanzia 36 hadi 50 ataitwa nani !.....
Toto bila hata ya kufikili kwa sauti likajb KIJUZI !!!!
Vp angekuwa mwanao ungemfanyaje !....