A funeral service is being held for a woman who has just passed away. At the end of the service the pallbearers are carrying the casket out when they accidentally bump into a wall, jarring the...
Jamaa kajitoma mskitini ghafla majasho yanamtoka! Mkononi kashika panga kali, Akauliza,"nani muislamu hapa," watu kimya. Karudia tena kimya. Ghafla kamnyakuwa jamaa alikuwa karibu na mlangoni...
wazee wa juju walipokwenda na timu ya taifa senagal kusaidia kuleta ushindi,kufika uko wazee wa ndumba wakaanza wao kurogwa kabla ya wachezaji...............
sifa zangu
ni mpole, mzuri, napenda pombe kali, chakula kizuri, mtoko wa maana, cost tunashea, ikitokea tukataka ku sex lazma condom sijapima bado, ni mrefu mweupe asili ya shombe kwa mbali, niko...
BAHIL: ndizi moja sh ngap?
MUUZAJ: ndizi moja sh 100.
BAHILI: nipe kwa sh 60.
MUUZAJI: kwa sh 60 unapata maganda tu.
BAHILI: Sawa basi shika sh 40, nipe ndiz tupu, hayo maganda ya shlng 60 yatoe...
Jamaa katenda dhambi zake humu ulimwenguni,alipofariki kaenda kuzimu,
kufika shetani akamwonyeshea vyumba vitatu na achague moja ambayo ndo inakuwa
ya mateso yake.
Kampeleka chumba cha...
[ILIKUA NI LIFTI - VIJANA OCHESTRA(Hamza Kalala)]
Haikua jambo baya kwangu
Kwa yule kijana kumpatia lifti
Kama unavyohamu yapata wiki ya tatu
Gari langu lina matatizo ya kuzimikazimika...
(1)Nikiwa matembezi mtaani hapa iringa,nimekutana na bibi kizee mmoja kalewa ulanzi chakareee anatembea kwa kujishikilia ukutani huku akiimba wimbo wa Dogo Aslay;(Tena inaniumaaa...
Unapomtambulisha mchumba wako kwa wazazi wako kumbe ni ndugu yako wa toka ntoke
unapotangaza umefaulu shule kali kumbe umefananisha majina
unapojifanya unasoma gazeti la kiingereza kwa...
jamani ninapoangalia documentaries za wanyama mbugani na kuona jinsi simba na chui wanavyowanyanyasa wanyama wenzao, ni mnyama gani wewe unajua ni mzembe katika kuwindwa na simba na chui
Wanajamvi wenzangu, katika kupambana na hali ngumu ya maisha, nimejiingiza kwenye fani ya uigizaji, na filamu yangu ya kwanza kushiriki inatoka wiki ijayo, inaitwa In the Line of Death
Katika...
jana nilkua na gelfrndz wangu wawili na tukiwa club tukakutana na kaka wawili nao ni rafiki zetu. Bada ya kupata shots kwenda mbele mm na wenzng tumeshtukia tupo kitandan lkn wote hatukumbki...
Niko eneo la Ukonga, eneo la mombasa,jirani kabisa na ukumbi maarufu wa wenge. Kumefurika umati wa watu! Watoto kwa wazee! Katikati yuko mtu mmoja anakilemba chekundu. Nyuma yake vijana 3 wanapiga...
nashangaa nlilikuwa nasafisha nyumba mara nikamwona buibui kakamatwa kwenye web yake mwenyewe kafa,
nikajiuliza kumbe waweza tega ukanaswa kwenye mtego wako mwenyewe
au ni wazembe kama wale nyumbu
Jaman mko wapi members wa kituli sekondari.Enzi za akina elisante,kombo salehe,Ester kapanda,sabas michael,moza rashid,deus Maganga,Nawamiss sana jaman.Wapi kadama malunde,anthony pius.Enzi za mwl...
Mteja siku#1;naomba chakula cha mbwa. Muuzaji;Una mbwa kweli?,sikuuzii mpaka umlete huyo mbwa.> Mteja siku#2;naomba chakula cha paka.Muuzaji;sikuuzii mpaka umlete huyo paka wako nimuone...(siku...