Kumbe..!

Kumbe..!

Pure nomaa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2011
Posts
1,158
Reaction score
1,388
Unapomtambulisha mchumba wako kwa wazazi wako kumbe ni ndugu yako wa toka ntoke

unapotangaza umefaulu shule kali kumbe umefananisha majina

unapojifanya unasoma gazeti la kiingereza kwa mbwembwe kumbe umeligeuza

unapomtukana mzee kwenye gari unapoenda kutoa posa kumbe ndo baba mzaz wa mchumba ako

unapomdanganya unafanya kazi sehemu fulani kumbe huyo ndo bosi pale

kumbe.......................!
 
Unapomzimia mkaka mzuri kumbe ni bwabwa..
 
unapo unapo....
Dah, hizi akili za mchina hizi nazo tabu tupu.
 
Unapodanganya kuwa wewe ni bosi mkubwa wizarani kwakuwa unatembelea STK au SU kumbe ni dereva tu.
 
Unapojifanya wewe ni matawi ya juu kwenye vitu flani flani kumbe una kazi ya kukopa kila siku.
 
Unapowadanganya wafanyakazi wenzio kuwa mkeo/mumeo hasikii wala haoni juu yako kumbe kila siku unarukishwa kichurachura..na kupigishwa magoti uite mvua!
 
Amyner eti eeh?! ndo maana tunasemaga hamna mwanamme mzuri, akiwa mzuri sana basi ni chakra iyo

kabisa.. Maana uzuri ukizidi kwa mwanaume anasifiwa mpaka na wanaume wenzake.. Tatizo linaanzia hapo. Niki anageuka nikita..lol!
 
Unapoamka asubuhi ili usafiri kurudi kwenu kumbe hawala kaloweka nguo.
 
unapoona matiti ya demu yamesimama unadhani ni bado kigoli kumbe kayabana na sidiria kandambili hizo
 
Hivi bwabwa wa kweli ukimuona huwezi kumtambua au hata kuhisi?

Baadhi unawatambua wale waliokolea na kulewa ubwabwa,wale wenzetu wanaojua suala hilo bado halikubaliki kijamii,huwezi watambua na wameoa tu na wanaheshimika kwenye ndoa zao!
 
Unapowasha taa ili uangalie nani unayembaka kumbe ni mama yako mzaz
 
Back
Top Bottom