kunaswa kwenye mtego wako mwenyewe

kunaswa kwenye mtego wako mwenyewe

client3

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2007
Posts
2,331
Reaction score
3,201
nashangaa nlilikuwa nasafisha nyumba mara nikamwona buibui kakamatwa kwenye web yake mwenyewe kafa,
nikajiuliza kumbe waweza tega ukanaswa kwenye mtego wako mwenyewe
au ni wazembe kama wale nyumbu
 
Kafa kwa kutegwa au alifia tu hapo?
Huwezi jua/sema kwa uhakika. Pengine alikua amejipumzisha akafa na sio amekufa kwa kushindwa kujitoa.
 
alipatwa na heart attack, soma ripoti ya madaktari wake.
 
pengine siku zake zilikuwa zimefika maskini....apumzike kusiko na hofu!!
 
atakuwa alitema ule uzi ukakataa kutoka ukamnyongea ndani kwa ndani
 
Back
Top Bottom