Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,933
- 1,294
Jamaa kajitoma mskitini ghafla majasho yanamtoka! Mkononi kashika panga kali, Akauliza,"nani muislamu hapa," watu kimya. Karudia tena kimya. Ghafla kamnyakuwa jamaa alikuwa karibu na mlangoni akaondoka nae! Kufika nje akamwambi, "nisaidie kuchinja mbuzi" jamaa kachinja alipomaliza akasema ye hawezi kumchuna mbuzi, jamaa akiwa na panga lenye damu akarudi tena msikitini! "jamani nauliza humu nani muislamu?" jamaa wakamnyooshe kidole imamu wa siku ile. Jamaa akaanza kujitetea!" aa jamani mi kuswalisha cku 2 tu ndo nimekuwa muislamu sana?" jamaa akasdema kanisaidie kuchuna mbuzi!