Haya mambo yataisha lini!!!?

Haya mambo yataisha lini!!!?

Ralphryder

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Posts
5,599
Reaction score
1,801
Niko eneo la Ukonga, eneo la mombasa,jirani kabisa na ukumbi maarufu wa wenge. Kumefurika umati wa watu! Watoto kwa wazee! Katikati yuko mtu mmoja anakilemba chekundu. Nyuma yake vijana 3 wanapiga manyanga ile mbaya huku wana chungu ndani sijui kina nini! Eti wanatoa misukule na kukamata wachawe! Mwe karne hii bado tuna imani hizi!
 
Yataisha siku tutakapoukimbia umasikini, untill then tutaishia kununua uchawi wa wazungu (umeme, tv,redio n.k) wakati wakwetu hauna maana.
 
Yataisha siku tutakapoukimbia umasikini, untill then tutaishia kununua uchawi wa wazungu (umeme, tv,redio n.k) wakati wakwetu hauna maana.

umenena vema!
 
Ni kiashiria halisi ya kuzama ujingani kwa jamii yetu! Tuelimishane kwa bidii!
 
Back
Top Bottom