Nitajuaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nitajuaje?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by mpoleeee, Jan 7, 2012.

 1. mpoleeee

  mpoleeee JF-Expert Member

  #1
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 310
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  jana nilkua na gelfrndz wangu wawili na tukiwa club tukakutana na kaka wawili nao ni rafiki zetu. Bada ya kupata shots kwenda mbele mm na wenzng tumeshtukia tupo kitandan lkn wote hatukumbki yalyotokea. Nitajuaje kua niliinguliwa mana nimejicheki naona kuko fresh hamna dalili.
   
 2. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #2
  Jan 7, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Umetazama kote?
  OTIS
   
 3. mafiakisiwani

  mafiakisiwani JF-Expert Member

  #3
  Jan 7, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 456
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  umeamka uchi au na nguo zako? na je hakuna mbegu za kiume zilizobakia?
   
 4. mpoleeee

  mpoleeee JF-Expert Member

  #4
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 310
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0


  of cauze
   
 5. mpoleeee

  mpoleeee JF-Expert Member

  #5
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 310
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0


  haukuna mbegu wala ute wwte
   
 6. mafiakisiwani

  mafiakisiwani JF-Expert Member

  #6
  Jan 7, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 456
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kama umeamka uchi basi wamekubandua na kondo m.
   
 7. mpoleeee

  mpoleeee JF-Expert Member

  #7
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 310
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0


  nawafaham cku nyingi
   
 8. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #8
  Jan 7, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  Kuwafaham na kujua uanaume wao ni vitu viwili tofauti
   
 9. mpoleeee

  mpoleeee JF-Expert Member

  #9
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 310
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0


  nilikua nina chupi na top 2
   
 10. mpoleeee

  mpoleeee JF-Expert Member

  #10
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 310
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0


  una maana gan?
   
 11. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #11
  Jan 7, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  Akili kumkichwa
  Mwanaume sio mwonekano wa nje kuwa amevaa suruali na ana ndevu na ana misuli ya kiume ni zaidi ya hapo
   
 12. T

  Tall JF-Expert Member

  #12
  Jan 7, 2012
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  1.Pole sana rafiki zako hao wa kiume si wema.
  2.Waliwawekea madawa ya kulevya mkalewa hamjitambui.
  3.Labda baadae wakawapeleka home au gesti.....inawzekana wamekula mande.
  4. Au waliwachungulia tuuuuuuuu wakawageuza geuza just for fun kuwajua mmeumbwa vipi just for fun halafu wakaondoka.
  MASWALI:
  1.JE MLISHAWAHI KUTEMBEA NAO???
  2.MBONA NYIE MLIKUWA WATATU WAO WAWILI MMOJA HAKUWA NA MTU???
  3.MLIAMKIA WAPI GUEST AU HOME??
  4.MLISHAWAULIZA KUWA MBONA HAMUELEWIELEWI???
   
 13. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #13
  Jan 7, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mie ni mtaalamu wa uchunguzi.
  Nitakuchunguza bure
  OTIS
   
 14. mpoleeee

  mpoleeee JF-Expert Member

  #14
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 310
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0


  nieleweshe inahuu vip?
   
 15. mafiakisiwani

  mafiakisiwani JF-Expert Member

  #15
  Jan 7, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 456
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  suruali/gauni walikuvua?
   
 16. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #16
  Jan 7, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  Nikikuelewesha hii post itahamishiwa jukwaa la wakubwa
  mwanaume ni yule aliyekamilika kila idara na kila sehem
  Kulala na mwanaume kitandani halafu asubuhi ukaamka uko kama ulivyolala jana yake huwezi kuamka na kujisifia nilikuwa na mwanaume . may be wana matatizo hao wanaume zenu
   
 17. mpoleeee

  mpoleeee JF-Expert Member

  #17
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 310
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0


  tulipomka nyumban kwa huyo kaka mmoja tumekuta kalala sebuleni kwake na suruali na viatu bado miguuni ila kifua wazi.
   
 18. T

  Tall JF-Expert Member

  #18
  Jan 7, 2012
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Hawezi kukubali huyu kuwa jamaa walimvuruga jana. Kwani mlishawahiona mtu katoka gerezani akatangaza kuwa KULE ALIKUWA CHAKULA???? Pole sana dada kwa yaliyokukuta.
   
 19. SaidAlly

  SaidAlly JF-Expert Member

  #19
  Jan 7, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,799
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Ahahaha.....kati ya wale watatu wewe ndio yupi sasa, yule aliyekua mrefu, mweupe na ulivaa kitop cheusi?? Hahaha.....nijibu nikwambie yaliyojiri ila inshort kama ndio nyie mkome kuja mjini kwa pupa siku nyingine tutawafanya kitu mbaya.
   
 20. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #20
  Jan 7, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,916
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  duh..?
   
Loading...