JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
wana jamii nilikuwepo pale quality juzi..! jamani mimi ninaona pako juu sana..! yani theater ni balaa mazee..! na misosi sasa yani ni balaa wazee..! wewe unadhani kati ya pale na mlimani wapi pako...
0 Reactions
43 Replies
12K Views
A man is walking around New York with his wife. They find a perfume shop, the wife goes in, and he waits outside. A hooker comes along and says to him, "Like to come home with me, buddy?"...
0 Reactions
0 Replies
909 Views
I have read and agree to the terms of use.
0 Reactions
0 Replies
991 Views
Kuna jamaa mmoja alikuwa anataka kwenda ktk kisiwa cha maraha na mazungumzo yalikuwa hivi:- Jamaa: Naweza kupata nafasi ya usafiri Mhudumu: Ndio nafasi ipo Jamaa: Malipo ni bei...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi ni kwanini bei ya superglue haijawahi kupanda ktk kipindi chote tangu enzi ya mkapa bado bei ni Tsh 500 wakati vitu vingine bei ziko angani kila siku au ndo uchumi wetu uko imara kwa kupitia...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
JK: “Watanzania eh” WTZ: “Eh” JK: “Mimi Rais wenu!” WTZ: “eh!” JK: “Sina nguvu tena!” WTZ: “Eh” JK: “Ya kukamata mafisadi” WTZ: “Eh” JK: “Mafisadi ni wajanja” WTZ: “Eh” JK: “Wamekomba...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Chagua kuishi kwa amani na upendo, upuka migogoro isiyo ya lazima. Chagua kuishi vizuri kwa kufanya kazi kwa bidii. chagua kuepuka ajali za barabarani kwa kuepuka kunywa pombe na kuendesha...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Kimya changu, hakika kinamshindo, Msijedhani nikimya, milele hata dahali, Kuwa kwangu kimya, ni sawa na ada ya mja, Ukimya wangu Ada ya mja hunena, walisema wahenga, Kwa muungwan ni vitendo...
9 Reactions
70 Replies
5K Views
  • Closed
Kiukweli na malaika ni mashaidi mimi ni mtu wa upendo sana kwa watu ila kuna mtu humu yaani amenikaa kooni i hate him with all my heart yaani nikiona id yake ,hata mapigo ya moyo yanaongezeka...
4 Reactions
169 Replies
11K Views
Habari wana jamii... Naomba kuulizia wasifu wa wasichana/wanawake WAKISIMBITI kutoka kanda ya ziwa, tafadhali sana pasipo hisia,tetesi, kupakana/kudhalilishana n.k.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ya umbea and all other entertainment...... Mnapata wapi udaku wa 'nyumbani' ??? Na wa nje je??? Naomba mlist 'sources' zenu za umbea fashion na entertainmentz zooooote kny thread hiii...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
There is a train that is empty and there are 10 stops,if at the first 5 stops it carries 7 passengers and at the last 5 stops it releases 1+4-5+2+3+2-7+1+2 and 4 passengers.How many...
0 Reactions
1 Replies
834 Views
nimesikia tetesi hizi mara kadhaa ya kuwa popote pale utakapoona kuna ishara/alama za kupanda ngazi,cheo,daraja kutokana na aidha mchango wako (mfano hapa jf kutoka member to senior to member to...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
helo Jf hivi hivi hii kitu mtima katika mwili wa binadamu unapatikana sehemu gani? pia ni mfupa, mshipa au msuli coz ni kawaida mtu kusema yule dada kautikisa mtima wangu!!!! msaada wa ufafanuzi.....
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Hongereni kwa kuingia mwaka mpya. Nina jambo limetokea leo ambalo ni mfululizo wa mambo mengi yaliyokua yakitendeka siku zilizopita. Ni story ndefu ntajitahidi kuifupisha. Ninaishi kwenye...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
1. Don’t let someone become a priority in your life, when you are just an option in their life… Relationships work best when they are balanced. 2. Never explain yourself to anyone...
6 Reactions
11 Replies
2K Views
Jamani yaani hapa mfukoni niko empty, chai sijapiga, nawaza mchana itakuwaje hlf hata mwelekeo wa maisha bora niliyoahidiwa na Mh. siuoni kabisa si ni upumbafu huu? Ngoja nikavizie mtu akikatiza...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Namtafta huyu dada hv yupo wapi nimemmiss sana
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Ujumbe yesu anatosha enyi wenye majaribu ya ndoa mungu awatie nguvu majaribu ya uchumba mungu awape uvumilivu usiku mwema
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…